UHARIBIFU ULIOMO NDANI YA KATUNI ZA WATOTO.
Description
Kwa miaka mingi, katuni zimekuwa sehemu ya maisha ya watoto wengi na wazazi wengi wamekuwa wakiamini kuwa katuni ni burudani isiyo na madhara na njia rahisi ya kuwafanya watoto watulie ili wao waendelee na majukumu, bila kujua madhara yaliyomo ndani yake, zinapotazamwa bila uangalizi wa karibu. kitabu hiki kimeandikwa Kwa lengo kubwa la kuwasaidia wazazi, walezi, walimu na jamii kwa ujumla wake kuelewa changamoto zinazoweza kujitokeza na namna ya kuzizuia ili zisiweze kuathiri mwenendo mzima wa watoto wetu. Ili kuyajua haya na mengineyo mengi, Jipatie kitabu hiki Kwa bei ya ofa na Mungu akubariki sana...🙏