0 Cart (0) Returns & Orders

SILAHA 7 AMBAZO SHETANI HATAKI KABISA UZIJUE

by GABRIEL KITORY

PDF


Description

Ndani ya kitabu hiki, utakwenda kuzijua silaha zote saba, namna zinavyovaliwa na namna zinavyotenda kazi katika ulimwengu wa roho, ili kukupatia ushindi mkuu. Ninakuhakimishia kuwa ukizijua silaha hizo na namna zinavyotenda kazi, hautakuwa mtumwa wa shetani tena. Karibu ukinunue kitabu hiki na Mungu akubariki sana..🙏

About this edition

Format
PDF
Price
5,500.00 TZS
Publisher
Gabriely Kitory
Published
Oct 4, 2026