SAUTI ILIYOBEBA SIRI YA UPONYAJI WAKO
Description
Ndani ya kitabu hiki, utapata maelekezo sahihi ya ni sauti gani uitendee kazi na sauti gani usiitendee kazi, epuka kupoteza muda mwingi kufuata sauti zisizo na uhalisia wa majibu ya maisha yako, na badala yake tamani kupata maarifa haya, ili yakusaidie kuvuka pale ulipokwama kwa muda mrefu sana. Kumbuka, “sauti sahihi imebeba ujumbe sahihi kwa wakati na majira sahihi.” nunua kitabu hiki ili upite ndani ya kurasa zake ukaangalie uhalisia wa sauti na ni kwa namna gani zinaweza kuiharibu au kuiponya nafsi yako. Mungu akubariki sana.