0 Cart (0) Returns & Orders

MAMBO 10 YA MSINGI YA KUZINGATIA ILI MAOMBI YAKO KWA MUNGU YAWE NA MATOKEO MAKUBWA.

by GABRIEL KITORY

PDF


Description

Je! Unatamani maombi yako yawe na matokeo makubwa katika maisha yako? Fuatana na mimi ndani ya kitabu hiki ili niweze kukuangazia mambo kumi (10) ya msingi ya kuzingatia ili maombi yako kwa Mungu yawe na matokeo makubwa sana katika maisha yako. Nina uhakika ukikisima kitabu hiki mpaka mwisho, Roho Mtakatifu atakufundisha namna sahihi ya kumwomba Mungu katika uzuri ili uanze kuyaona matokeo makubwa. Nunua Sasa ukajifunze mambo hayo ya msingi sana yatakayo kusaidia kukuza ufahamu wako wa namna ya kuomba ili ujibiwe maombi yako. Karibu sana.

About this edition

Format
PDF
Price
10,000.00 TZS
Publisher
Gabriely Kitory
Published
Oct 16, 2026